KITUKO... WEMA: SIJAWAHI KUMSALITI DIAMOND

WEMA Sepetu ametengeneza kichwa cha habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ enzi zile walipokuwa wamezama kwenye dimbwi la mahabat.
“Maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Nasibu…sikuwahi kuwa unfaithful (msaliti). I used to be very faithful to him (nilikuwa mwaminifu sana kwake) na tulikuwa tunapendana sana… nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo,” alisema Wema.
Mara kadhaa Diamond amewahi kukaririwa katika vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti pindi walipokuwa wapenzi. Tuwaachie mambo yao! Wasituchoshe.
chanzo:globalpublishers

2:12 AM | Posted in , , , , | Read More »

Man sets up video camera to film ghosts in kitchen - and catches girlfriend having sex with teenage son

A man who set up a hidden video camera to film paranormal activity in his kitchen accidentally caught his girlfriend having sex with his teenage son.
Instead of capturing ghosts on camera, the father, from Tasmania, Australia, was horrified to find footage of his lover and 16-year-old son kissing and cuddling.
The 28-year-old woman, who cannot be named for legal reasons, pleaded guilty to five counts of sex with a minor at the Supreme Court on Monday.
She said she was “ashamed and embarrassed” by her actions and claimed she thought the age of consent was 16, when it is in fact 17.
The court heard that, when the man confronted his partner of 11 years over the video recording, she tried to downplay the incident as an innocent cuddle.
But his son confessed to having sex with her three times in the preceding days.
It later emerged that the affair began when the woman, mother of the man’s young child, went into her stepson’s bedroom to discuss his driving lessons.
Conversation turned to tickling which then became kissing and sex, Crown Prosecutor Jackie Hartnett told the court.
She also told the court how the woman had taken the boy upstate where they had sex several times in a hotel room.
After discovering the footage on his video camera, the man called police and his girlfriend was arrested.
She later confessed in a taped police interview to having sex with the boy and admitted knowing he was 16.
Justice David Porter remanded the woman in custody and will sentence her on Monday, according to the Hobart Mercury.


http://www.mirror.co.uk

7:30 AM | Posted in , , | Read More »

MCHUNGAJI ALITAKA PENZI BILA KINGA,AFIKISHWA MAHAKANI


                                 Jean Felix Bamana akifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali.
KESI ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG), Jean Felix Bamana, Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jumatatu wiki hii ilianza kurindima katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro huku upande wa walalamikaji ukiiambia korti, ‘mchungaji alitaka penzi bila kinga’.
Mchungaji huyo alitiwa mbaroni Machi 13, mwaka huu ndani ya Hoteli ya Grand iliyopo Magomeni, Dar akiwa na wanafunzi wawili, watoto wa familia moja, Artha Swai (17) na Angel Swai (19) ambao alidaiwa kuwatorosha kutoka mjini hapa.
Katika kesi ya msingi, mchungaji huyo alidaiwa kuwadanganya watoto hao kwamba alikuwa akiwafanyia mpango wa kwenda kusoma nje ya nchi lakini badala yake aliwaweka hotelini na kumtaka kimapenzi mmoja wao.
SAA 3:30 ASUBUHI AFIKISHWA MAHAKAMANI
Akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi, Amani lilimshuhudia Mchungaji Bamana ambaye alishindikana kufikishwa mahakamani mara tatu mfululizo kwa visingizio vingi, akipandishwa kizimbani huku akikwepa macho ya umati uliofurika kufuatilia kesi hiyo.
MASHITAKA
Akisoma mashitaka yanayomkabili Mchungaji Bamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, mbele ya Hakimu Naomi Mwerinde, mwendesha mashitaka ambaye ni wakili wa serikali, Abdallah Chavula alisema mtuhumiwa huyo anashitakiwa kwa makosa mawili.
Chavula alisema, katika makosa hayo, la msingi ni la kutorosha wanafunzi kinyume na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya sheria namba 6 ya mwaka 2008, ibara ya 4, kifungu cha 5, kifungu kidogo 4 (i)a.
Katika mashitaka hayo, ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, mnamo Februari 18, mwaka huu, Angel ambaye kipindi hicho alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Marygorethi ya mkoani hapa, akiwa nyumbani kwao eneo la Masama wilayani Hai, alimuomba mdogo wake, Artha amsindikize mjini Moshi.
Mwendesha mashitaka huyo aliendelea kufafanua mbele ya mahakama hiyo kuwa, wanafunzi hao waliondoka nyumbani bila kutoa taarifa na kwamba walifikia Moshi View Hotel ambako walikutana na mshitakiwa huyo.
Ilidaiwa kortini hapo kuwa wakati watatu hao wakifanya mazungumzo, Artha alimueleza mshitakiwa dhamira yake ya kuendelea na masomo baada ya kumaliza kidato cha nne na mtuhumiwa alimhakikishia kwamba kwa kuwa ni mtu wa kuzuguka kila mahali duniani kote angemsaidia kupata shule nje ya nchi.
Ilielezwa kuwa kama ilivyokuwa kwa mdogo wake, Angel naye alihakikishiwa kufanyiwa utaratibu wa kupata shule nje ya nchi ambapo mshitakiwa alimuahidi kumpeleka Uingereza kusomea masuala ya ubunifu na mitindo.
Mwendesha mashitaka huyo aliiambia  mahakama kuwa majira ya saa tisa alasiri, mshitakiwa aliwapa nauli ya teksi kutoka Moshi kuwarudisha nyumbani Masama na kwa kuwa waliondoka bila kuaga, bibi yao aliwagombeza.
Chavula aliendelea kuiambia mahakama kuwa, katika mawasiliano kati ya watatu hao, Mchungaji Bamana alikuwa akimsisitiza Angel afanye uamuzi mgumu wa kuondoka nyumbani kwao na kumfuata Dar kwa sababu wazazi wake (Angel), watakufa muda wowote, yeye na mdogo wake watapata matatizo kama watakuwa hawawezi kujitegemea.
ZAWADI YA SIMU
Mahakama iliendelea kuelezwa kuwa siku ya kwanza kukutana, mshitakiwa alimpa Artha simu ya Samsung Touch Screen na kwamba siku iliyofuata, mtuhumiwa alimpigia simu Angel kupitia simu aliyompa Artha na kuwataka waende mjini wakale naye bata.
Angel na mdogo wake walitoroka nyumbani kwa kutumia usafiri wa teksi ya mtu aliyefahamika kwa jina moja la Yusuf ambapo baada ya kufika mjini walikutana na mchungaji huyo aambaye aliwapeleka Nakumatt Supermarket alipowanunulia biskuti na headphone za simu.
SMS ZA MAPENZI
Mahakama ilielezwa kuwa, pande zote ziliendelea kupigiana simu na kutumiana ujumbe mfupi (SMS) na katika mazungumzo, mshitakiwa aliendelea kuwasisitiza Angel na Artha kutoroka nyumbani na kuongeza kuwa siku iliyofuata mshitakiwa aliondoka kurejea Dar.
ARTHA AMFUATA MCHUNGAJI DAR
Hakimu Mwerinde aliambiwa kuwa, Februari 18, mwaka huu, Artha alimuaga baba yake kuwa anakwenda Machame kumsalimia bibi yake lakini badala yake alikwenda Moshi kukata tiketi ya basi la saa sita linalokwenda Dar.
Majira ya Saa 7:00 mchana, Artha  alimpigia simu Angel kumfahamisha juu ya safari yake na baadaye akawasiliana na mshitakiwa na kwamba mtuhumiwa alimuagiza akifika Ubungo achukue teksi hadi Grand Hotel ya Magomeni.
Baada ya kufika hotelini hapo, Artha alipokelewa na mshitakiwa na kwa pamoja waliingia mapokezi ambapo mtuhumiwa huyo alilipia gharama zote za malazi ya kijana huyo huku akimhakikishia kufuatilia taratibu za kupata hati ya kusafiria siku inayofuata.
ANGEL NAYE ATIMKIA DAR
Mwendesha Mashitaka Chavula aliendelea kuieleza mahakama kuwa, siku mbili baada ya Artha kufika Dar, Februari 20, Angel alitumiwa shilingi laki moja kwa mtandao kupitia simu ya dereva teksi.
Katika fedha hizo, Sh. 40,000 alitumia kama nauli ya teksi kumtoa Masama hadi Moshi Mjini na zilizosalia, Sh. 60,000 zilitumika kwa nauli ya kwenda Dar.
Chavula alidai kuwa Angel alitumia Sh. 18,000 kukata tiketi ya basi na kwamba mara tu baada ya kufika Dar, alipokelewa na mshitakiwa huyo katika Hoteli ya Grand
MCHUNGAJI ATAKA PENZI BILA KINGA
Katika jambo lililoshtua wengi mahakamani hapo ni pale mwendesha mashitaka huyo alipoiambia korti kuwa mshitakiwa alitaka penzi kwa Angel.
Alisema kuwa katika harakati za kufanikisha azma yake ya kufanya mapenzi na Angel, mchungaji Bamana alikuwa akishinda kutwa katika chumba cha msichana huyo.
Ilidaiwa kuwa mchungaji huyo alikuwa akimshawishi Angel kwa njia zote kufanya naye mapenzi bila kinga!
Mwendesha mashitaka huyo alisema kuwa mara zote, Angel alikataa na kumshauri mchungaji kuwa kama anataka kufanya naye mchezo huo mchafu basi atumie kinga, kitu ambacho mchungaji huyo hakuwa tayari kukifanya.
Ilielezwa kuwa baada ya kugonga mwamba kupata penzi, mchungaji aliambulia kumshikashika na kumbusu mara kwa mara, kitendo kilichomfanya mdogo wake Angel, Artha aanze kuingiwa na shaka pamoja na kwamba walikuwa wakitarajia kusaidiwa.
MCHUNGAJI AKANA MASHITAKA
Upande wa mshitakiwa ulipotakiwa kuwasilisha utetezi wa mashitaka yote mawili, mshitakiwa akiongozwa na mawakili wawili, Erick Gabriel na Rongino Myovela pamoja na kukubaliana na maelezo lakini walikana mashitaka yote.
MASHAHIDI
Kutokana na ugumu wa shitaka hilo, mwendesha mashitaka baada ya kushauriana na mawakili wa mchungaji, aliiomba mahakama iahirishe zoezi la kusikilizwa kwa kesi hadi pale upande wa mshitakiwa utakapopeleka mashahidi nane na vielelezo.
Baada ya kujiridhisha na maelezo ya upande wa mashitaka na kukubaliana na ombi la mwendesha mashitaka, Hakimu Mwerinde aliahirisha kesi hiyo hadi Juni 3, mwaka huu itakaposikilizwa tena.
chanzo:.globalpublishers

6:37 AM | Posted in , , | Read More »

LULU AIBUA JIPYA

NYOTA wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, ameibua jipya ambapo kwa sasa habari ya mjini ni kwamba ana bwana mpya aliyetajwa kwa jina moja la Junior, Amani limezinasa habari hizo.
Ishu hiyo ambayo ndiyo gumzo midomoni mwa watoto wa mjini ilianza kusambaa tangu Aprili 1, 2013 staa huyo alipoangusha pati ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ilichukua nafasi ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Serena katikati ya Jiji la  Dar es Salaam.
Maneno ya mjini yanasema kuwa staa huyo amekuwa akiweka picha yake akiwa na Junior kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wadau wakimpongeza kwa kumtambulisha mpenzi wake huyo.
Mbali na picha ya Lulu akiwa na huyo Junior, ipo picha aliyopiga mama yake Lulu akiwa na kijana huyo katika pozi la kufanana na mwanaye.
Gazeti hili halikuyaamini maneno ya wadau wala ya mjini, juzi lilimsaka nyota huyo na kumuuliza kuhusu madai hayo ya watu ambapo alikataa katakata kuwa na bwana mpya.
Msikie mwenyewe: “Junior si mpenzi wangu, ni rafiki tu na ana mchumba’ake, sema watu wamekuwa wakinihusisha naye ili niongee wakati mimi sitaki kabisa kuongelea kitu chochote hasa visivyo na maana kama hicho.”
chanzo:globalpublishers

6:19 AM | Posted in , , , | Read More »

KAKA, DADA WANASWA WAKIDUU




UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Usemi huu unakamilishwa na tukio la kunaswa kwa vijana wawili wenye undugu wa damu wakifanya mapenzi ‘wakiduu’ kando ya Ufukwe wa Bahari ya Hindi!

Imefahamika kwamba vijana  hao, kaka na dada (majina tunayo)  wamenaswa ‘wakiduu’ katika mapango yaliyopo kando ya Ufukwe wa Coco, Oysterbay jijini Dar es Salaam.
TUKIO ZIMA
Tukio zima lilitokea mchana kweupe wa saa 9 na kudhihirisha habari za mara kwa mara zinazoeleza kwamba Ufukwe wa Coco umekuwa ukitumika kwa ufuska usiku na mchana.
Risasi Mchanganyiko lilinasa tukio hilo kwa kutumia mitambo maaalum iliyoelekezwa kando ya bahari.
Wawili hao walinaswa tangu walipokuwa wakiingia katika ufukwe huo na kuwafuatilia nyendo zao, hatua kwa hatua.
DEMU ALIKUWA AKIZINGUA
Haikufahamika mara moja kama wawili hao walikuwa na makubaliano ya kwenda kuduu katika ufukwe huo au la, lakini kwa mbali ilionekana kama vile dada mtu alikuwa akizingua kwenda kutenda dhambi hiyo.
Picha za video zilizonaswa, zinamuonesha dada huyo akionekana kutoa upinzani pale alipokuwa akishikwashikwa na kaka yake.
Alionekana kama vile hakuwa tayari kwa mchezo huo.
Hata hivyo, kaka mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 23-26 alikuwa akilazimisha kitu fulani ambacho kilionekana dhahiri kupitia kamera zetu.
Ni kama vile hawakuwa na makubaliano na kile walichokuwa wakienda kukifanya.
Mara kadhaa dada huyo alionekana kumkwepa kaka yake na alikuwa akijiondoa karibu yake pale alipomlazimisha kutaka kumfanyia kitu kisichokuwa cha kawaida
KAMERA ZAELEKEZA KWAO
Kamera za Risasi Mchanganyiko ziliwafuatilia wawili hao kwa kuwa walionekana kuwa na kitu ‘spesho’.

WAINGIA MAPANGONI
Mpaka wanazama katika mapango yaliyopo kando ya ufukwe huo wa Coco, kamera zilikuwa zikiendelea kuwachukua hadi walipozama ndani kabisa ya mapango hayo.

WANASWA LIVE
Walipozama ndani ya mapango hayo, ghafla walitokea askari ambao nao walikuwa wakifuatilia nyendo za wawili hao.
Askari hao wa Kituo cha Oysterbay, wakiongozwa na kamanda wa oparesheni maalumu katika Wilaya ya Kinondoni, Kamanda Swai walifuatilia kwa umakini tukio hilo.

WANASWA
Wakiwa chini ya mapango, kaka na dada waliondoa ‘viwalo’ vilivyokuwa maungoni mwao na kuanza kuduu kama vile walikuwa katika ufukwe unaoruhusiwa kufanya vitendo hivyo.

WAKUTWA WATUPU
Kabla askari hawajawavamia, waliwashuhudia wawili hao wakiwa katika kilele cha sterehe yao huku dada mtu akionesha kutoa ushirikiano kwa shingo upande.
Ghafla, askari waliwavamia na kuwatibulia starehe yao kisha kuwatia mbaroni.

KAKA ATAKA KUFANYA FUJO
Baada ya kuona kuwa wamevamiwa na askari, kaka mtu alichomoka na kutafuta silaha ili kuweza kujihami na wavamizi wake bila ya kujua kama ni askari.
Katika hilo nusura zipigwe kati ya askari na kaka huyo ambaye alikuwa akitaka kupigana na watu asiowajua kwa kuwa walikuwa wametinga mavazi ya kiraia.
Hata hivyo, alitulizwa na kutakiwa kuvaa pensi yake ili aweze kutoa maelezo kwa kina.

DADA APIGWA NA BUTWAA
Wakati yote yakiendelea, dada mtu alikuwa amepigwa na butwaa na kutojua cha kufanya hadi aliporushiwa kitenge chake kilichokuwa pembeni ili ajisitiri mwili wake.

SIRI YAFICHUKA
Katika mahojiano ya awali yaliyoongozwa na Kamanda Swai, ilibainika kwamba wawili hao ni ndugu wa damu yaani kaka na dada.

DADA ALITOKA MKOA
Maelezo hayo yanasema kuwa dada mtu alitoka mkoani na alikuja kutembea jijini Dar es Salaam, ndipo kaka yake alipomtaka watoke kwenda kumuonesha vivutio vya jiji hilo.
“Nina miaka 19, nimetokea Iringa kuja Dar kutembelea familia lakini kaka akanileta huku na kunifanyia vile, siyo kama tulikuwa tumekubaliana,” alisema dada huyo kwa aibu.
Kaka mtu alikiri kile kilichosemwa na dada yake na kushindwa kujitetea kwa kuwa kila kitu kilikuwa hadharani.

WASEKWA RUMANDE
Wawili hao walichukuliwa na kupelekwa katika Kituo cha Oysterbay kwa ajili ya kufunguliwa kesi ya uzembe na uzururaji na kusekwa rumande kabla ya kufikishwa mahakamani.
chanzo:globalpublishers

5:42 AM | Posted in , , , , | Read More »

SOMA SINEMA YA BURE DIVA NA PREZZO!


NGOJA nikutambulishe kwa mara ya kwanza kwa wasomaji wangu. Nazungumza na wewe Loveness Malinzi ‘Diva’. Ulianza ‘kuhaso’ kutoka kimuziki miaka ile ulipoibuka Nyumba ya Kukuza Vipaji (THT). Kabla ya kuchomoka kimuziki, ukala shavu la utangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM. Ndicho kimekupa jina kwa kuwa kinagusa hisia za kimapenzi.
Weka utangazaji pembeni, nakuzungumzia kama msanii wa Bongo Fleva. Wimbo wako wa Piga Simu uliomshirikisha Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiyo uliofanya mashabiki wako ambao hawakukufahamu kabla ya kuwa mtangazaji, kugundua kuwa kumbe una kipaji cha muziki. Utambulisho unatosha!
Wiki iliyopita uligeuka habari ya mjini. Ni baada ya kutangaza kuwa umetokea kumpenda ghafla (first sight love) mwanamuziki mwenye fedha wa Kenya, Jackson Makini ‘Prezzo’ kama ilivyowahi kutokea kwa wengine uliowakaribisha studio. Ilikuwa ni baada ya kumkaribisha kwenye kipindi chako cha Ala za Roho kwa ajili ya mahojiano.
Umetambulisha utamaduni mpya kidogo kwa mabinti wa Kitanzania. Umevunja kasumba kuwa mwanaume ndiye humtokea mwanamke anapokuwa na hitaji la kimapenzi. Umeibua mjadala mzito kwenye mitandao ya kijamii. Sakata lako limeonekana kama sinema ya bure. Unajua kwa nini? Kuna waliodai umewashushia heshima wanawake wa Kibongo kwa kujirahisisha kwa mwanaume. Kuna waliosema umempora mwenzako, Lady Boss aliyekuwa mpenzi wa Prezzo, ukawa gumzo nchi zote mbili, Tanzania na Kenya. 
Pamoja na kwamba ni mapenzi lakini kuna madai mazito kuwa kwa kufanya hivyo umemwachia maumivu aliyekuwa mpenzi wako wa Bongo. Pia umemsababishia maumivu makali mwanamke mwenzako, Lady Boss wa Prezzo, bila kujali kuwa wewe ni ‘mwalimu’ wa mapenzi kupitia kipindi chako.
Nikueleze tu wazi kuwa kinacholeta tafrani na matusi kutoka kwa baadhi ya watu mitandaoni ni kwa kuwa huachi kumsifia na kueleza jinsi ‘unavyo-mmisi’ kama ulivyokuwa ukifanya ulipokuwa na uhusiano na rapa wa hapa nyumbani, Mo Racka. Watu wanadai tatizo lako ni kulinadi penzi hilo jipya bila kujali walioumia.
Sawa umempata Prezzo, umetukanwa vya kutosha, ombi letu, tulia ili kujenga heshima kwa wanawake wa Kitanzania wanaopata wanaume nje ya Bongo. Usiwe kama wale walioolewa na wazungu ‘vibabu’ kwa tamaa ya fedha. Unachotakiwa kufanya ni kuwathibitishia wale wanaodai kuwa umefuata mkwanja wa Prezzo kuwa si kweli bali una mapenzi ya dhati kutoka moyoni na siyo ya mapenzi ya matangazo. Kila la kheri katika maandalizi ya ndoa. For the love of game!

chanzo:.globalpublishers

5:07 AM | Posted in , , | Read More »

ALIYEMFUMANIA MKEWE GESTI AGEUZIWA KIBAO!


LILE sakata la hivi karibuni la mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Asha kudai kumfumania mshikaji wake aitwaye Beda Mloka mkazi wa Ilala jijini Dar es Salaam akiwa na mkewe gesti, lililoripotiwa na gazeti ndugu na hili la Risasi Mchanganyiko, limechukua sura mpya kufuatia aliyefumania kugeuziwa kibao na aliyedaiwa kufumaniwa.
Chanzo chetu cha kuaminika kilichoomba jina lake lisiandikwe gazetini juzi kililitonya Ijumaa kuwa, mara baada ya fumanizi hilo lililotokea katika gesti iitwayo Pumzika iliyopo Msimbazi Center kisha aliyefumaniwa kuchezea kichapo, mambo yalikwenda chinichini lakini juzikati aliyefumania aliitwa Kituo cha Polisi, Pangani.
“Lile tukio lilikuwa gumzo sana pale mtaani kwetu, na kwa aibu Beda alitoweka kwa siku kadhaa lakini juzi Baba Asha akaitwa polisi, inavyoonekana mgoni kamgeuzia kibao mwenzake
“Nilijaribu kudadisi nikasikia Beda anadai Baba Asha na mkewe wamemchezea chezo na anajaribu kuonesha kuwa hakufumaniwa, kitu ambacho kinawashangaza wengi kutokana na mazingira waliyokutwa gesti,” alidai mtoa habari huyo.
Katika kujua ukweli wa sakata hili, mwandishi wetu alimtafuta Beda bila mafanikio lakini Baba Asha alipopatikana alisema: “Ni kweli leo (Jumatano ya juzi) niliitwa pale Polisi Pangani, jamaa niliyemfumania na mke wangu kaenda kunishitaki kuwa nimemfanyia mchezo.
“Kwa kweli ni jambo la kushangaza sana, yaani kanitibulia ndoa yangu halafu ananigeuzia kibao! Tutaona sasa yeye na mimi nani ataumbuka. Nimetakiwa kwenda kuripoti tena pale polisi kesho (jana) na baada ya hapo nitajua nini cha kufanya.”
chanzoL:globalpublishers

4:11 AM | Posted in | Read More »

DIAMOND ATOBOA KWA NINI KIWEMBE!

                                                   Diamond
                                               Diamond  na Wema
                                                  Diamond na Penny
                                                   Diamond na Joketi
KWA mara ya kwanza nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' ameacha gumzo London, Uingereza baada ya kueleza sababu za kwa nini ni kiwembe?

Akifunguka katika mahojiano maalum wiki iliyopita na Kipindi cha Sporah Show cha runingani alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki nchini humo, Diamond alizungumza ishu kibao za kimapenzi hasa juu ya msururu wa wanawake ambao tayari ametoka nao.
ASISITIZA ANASUBIRI MTOTO
Kabla ya yote, staa huyo alisisitiza kuwa muda si mrefu anatarajia kupata mtoto kutoka kwa mpenzi wake wa sasa, Peniel Mungilwa ‘Penny’ akimaanisha kuwa ni mjamzito, kinyume na msichana huyo ambaye hivi karibuni alimshangaa Diamond kueneza habari hizo.
KWA NINI ANAPENDA KUBADILISHA WANAWAKE?
Diamond: Mimi ni binadamu kama binadamu wengine wa kawaida. Nampenda mwanamke anayenipenda na kuniheshimu. Ikitokea mikwaruzano huwa mimi nakaa pembeni, natafuta sehemu nyingine. Wakati mwingine mimi ndiye huwa naachwa.
KWA NINI MSURURU NDANI YA KIPINDI CHA MIAKA MITATU?
Diamond: Nikiwa na mtu nikiachana naye naonekana nina matatizo kwa sababu wakati mwingine nakuwa na wanawake wenye majina. Siwezi kukaa bila uhusiano na nakuwa wazi kwa sababu lazima itajulikana tu na kuandikwa kwenye magazeti. Kuna kipindi nilikaa miezi sita bila kufanya kitu chochote (mh!). Lakini nikianza (uhusiano), nikihama naonekana msumbufu.
KWA NINI MASTAA, TENA MARAFIKI?
Diamond: Huwa sitoki, nakuwa nyumbani tu, nakaa na mama yangu (Sanura Kassim ‘Sandra’) nampikia. Nikitoka nakwenda kwenye shoo au studio. Huko ndiko nakutana nao (mastaa wa kike).
ALIMPATAJE JOKATE (MWEGELO)?
Diamond: Alikuwa anazindua nguo zake (Kidoti) akaniomba nikapite nazo kwenye onesho la mavazi, nikapita nazo jukwaani. Baada ya hapo na mimi nilimuomba nifanye naye video ya wimbo wangu (Mawazo), ndiyo ikatokea kama hivyo.
NINI KILIMVUTIA KWA PENNY?
Diamond: Kwanza mimi nilimjua Penny kabla ya Wema (Sepetu), alikuwa mshikaji wangu. Ni mwanamke mzuri, wa kileo, ana akili adabu na heshima. Anampenda mama yangu na familia yangu ‘coz’ na mimi nampenda mama yangu (sifa ambazo kwa mujibu wake Wema alizikosa).
KWA NINI ALIMREKODI WEMA?
Diamond: Kila binadamu anajiona yupo sawa na anaonewa. Sipendi kuongea, nitazungumza vibaya. Mapenzi yanaumiza na mimi naumia pia lakini watu wanadhani mimi ndiye muumizaji. Unamwambia mtu kwa nini una mwanaume mwingine.
Anakuzuga sijui ni pedeshee anampa pesa. Mara unamwona na mwanaume mwingine. Mimi siyo maskini lakini sasa mara unamwona na brazameni mwingine ‘then’ washkaji wanakwambia. Wewe unajifanya kuziba masikio mara unasikia ana mwanaume mwingine. Lakini ikafika wakati nikajikuta naumia sana kwenye mapenzi.
Kama ukisikiliza ule wimbo wa Kesho ni kweli kabisa. Mimi nikakaa pembeni hadi nilipompata huyu wa sasa (Penny).
Nakumbuka (Wema) alinipigia simu akadai mimi ndiye nasema anataka turudiane. Nilikuwa kwenye gari, nikamuuliza anataka nini?
Wakati huo nilishafika nyumbani kwa baby wangu. Nikamwonesha ona sasa, anasema mimi ndiyo nataka nirudiane naye, anatangazia watu hadi saluni kuwa nataka kurudiana naye na kujidai kwenye vyombo vya habari kuwa ananipenda. Kumbe ana wengine (ving’asti) kama ishirini anawahonga (mistari ya wimbo wake wa Nataka Kulewa).
Nilimpa baby wangu akamwambia kistaarabu tuache tulale. Sasa kuna mtu wetu wa karibu ndiye aliyehusika kusambaza ile sauti.
SEMA UKWELI, ULILALA NA UWOYA?
Diamond: (kicheko) Ningeanzia wapi? Unajua mimi ni simba kwa hiyo nikionekana na swala inajulikana lazima nimle hata kama tumeenda sehemu tu kuzungumza ishu za kazi.
KWA NINI WANAWAKE AU ENZI ZILE HAKUWA NA ‘CHANSI’ SASA AMEPATA?
Diamond: Ukimuelimisha mwanamke mmoja umeelimisha ulimwengu mzima. Nawapenda sana, wanajaa tele kwenye shoo zangu. Kilichotokea kwa Wema ilibidi tu sikuwa na jinsi.
ANATAKA MWANAMKE WA AINA GANI?
Diamond: Ukimuuliza mwanamke aliyewahi kuwa na mimi atakwambia najua mapenzi, najua kupetipeti, najua kubembeleza, najua kujifanya mjinga. Narudia tena, awe mzuri, wa kileo, mwenye akili, anayejiheshimu, ampende mama yangu kama mimi ninavyompenda mama yangu.
KWA NINI KIWEMBE?
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa ulibaini kuwa chanzo cha staa huyo aliyetokea Tandale, Dar kuitwa kiwembe ni kutokana na tabia yake ya kubadilisha wanawake kama nguo.
Baadhi ya aliowahi kuripotiwa akidaiwa kutoka nao ni Rehema Fabian (Miss Kiswahili 2009), Jacqueline Wolper (msanii wa filamu), Upendo Moshi ‘Pendo’ (Mshiriki wa Maisha Plus) na  Natasha (Video Queen wa Bongo Fleva).
Wengine ni Wema (mwigizaji), Jokate (mwigizaji), Aunt Ezekiel (mwigizaji), Najma (msanii wa Bongo Fleva), Penny (mtangazaji DTV), Irene Uwoya (mwigizaji) na wengineo.
chanzo:globalpublishers



3:59 AM | Posted in , | Read More »

Picha ya WEMA SEPETU na mwanaume yazua kizai zai kwenye mitandao

HATA kama ukimkwepa vipi, lazima utakutana na stori yake tu! Staa wa Bongo, Wema Sepetu anatengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine, safari hii ametokelezea na mwanaume mwingine katika pozi tata lililozua minong’ono kwa mashabiki wake.

Wema ambaye ni Miss Tanzania mwaka 2006, huku akifurukuta kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ametokelezea na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Raheem katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
GUMZO MITANDAONI
Picha hiyo ambayo pozi lake ni ‘very romantic’ imezua gumzo katika mitandao mbalimbali ilipotundikwa na wadau wengi walionekana kuamini kuwa Wema alikuwa akimnadi mpenzi wake mpya.
Mtoa maoni mmoja aliandika: “Naona Wema ameamua kutuonesha shem wetu mpya, sasa hapo kazi kwa wenye vijicho.”
Mwingine aliandika: “Mmh! Mbona (Raheem) haonekani uso? Kama lengo lake lilikuwa kumwanika angemuacha tu aonekane ila dah! Ana kifua kizuri sana. Huyu jamaa anaonekana anafanya sana mazoezi.”
DIAMOND ATAJWA
Katika gumzo hilo, wengine walikwenda mbali zaidi, wakisema kwamba inawezekana Wema alikuwa na Raheem kwa siri muda mrefu lakini sasa ameamua kuvunja ukimya ili kumringishia x - boyfriend wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Siku zote alikuwa wapi? Atakuwa anamwoneshea Diamond tu huyu,” mtoa maoni mwingine aliandika.
INTERVIEW NA RAHEEM
Ni jadi ya magazeti ya Global Publishers likiwemo hili la Risasi Mchanganyiko kutafuta mzani wa habari kabla ya kwenda hewani hivyo lilimtafuta Raheem ambaye alitoa ushirikiano wa kutosha.
Raheem alikiri kuitambua picha yake na Wema lakini alisema imemshtua na kumcha-nganya maana hakutegemea kama ingefika mitandaoni na hatimaye kwenye vyombo vya habari.
Alisema: “Ni kweli nilipiga hiyo picha na Wema lakini ni ya kawaida tu, haina maana nyingine tofauti. Wema ni rafiki yangu na dada yangu. Tunaheshimiana, hakuna cha zaidi.
“Wema ni maarufu na watu wanaweza kujaji wanavyotaka, hilo litanisababishia matatizo kwa sababu mimi nina mpenzi wangu na Wema si mtu wangu kabisa...she is just my sister (ni dada yangu tu).”
Risasi: Hiyo picha mlipiga lini, wapi na kwa matumizi gani?
Raheem: Ilikuwa kwenye function (tukio) fulani ambayo siwezi kuizungumzia. Kama wiki sita au miezi miwili hivi iliyopita na tulipiga kama marafiki tu, hakuna cha zaidi.
Risasi: Kwa hiyo Wema akithibitisha wewe ni mpenzi wake itakuwaje?
Raheem: Nitamshangaa sana! Wema ni dada yangu tu.
Risasi: Inasemekana Wema ameamua kuianika hiyo picha kwa lengo la kumrusha roho Diamond, unasemaje hapo?
Raheem: Sijui na kwa kweli siwezi kuzungumzia mambo ya mtu binafsi. Sijui chochote.
GONGA HAPA KUMSIKIA WEMA
Wema alipatikana na kusomewa mashitaka yake ambapo alikiri kupiga picha na Raheem, akafafanua kuwa aliipiga muda mfupi baada ya kutoka kufanya interview na kituo kimoja cha redio (jina kapuni) lakini akasema haina uhusiano wowote na suala la mapenzi.
“Ni kweli nilipiga hiyo picha, yeye aliniomba tu kama fan (shabiki) wangu, akataka ku-show love (kuonesha upendo), sikuona sababu ya kumkatalia. Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na Martin (Kadinda – meneja wake) na baada ya siku hiyo sijawahi kuonana naye tena mahali popote...sioni tatizo kabisa, ni kawaida kwa sisi mastaa,” alisema Wema.
Risasi: Lakini Wema wadau wanasema eti ni mpenzi wako na umefanya hivyo kwa lengo la kumrusha roho Diamond.
Wema: Umeshasema wadau, waache na mambo yao lakini maelezo yangu ni hayo na naamini yamejitosheleza.
Risasi: Kuna kitu nahitaji ufafanue zaidi...lile pozi lipo romantic sana, hufikiri kuwa inaweza kuwa sababu ya watu kuwa na hisia kwamba ni mpenzi wako?
Wema: Ni kweli picha ni romantic lakini yule kijana (Raheem) si mpenzi wangu. Naomba nieleweke hivyo. Ahsante
chanzo:globalpublishers

2:15 AM | Posted in , , | Read More »

Ukosefu wa maadili wa wanawake waliokuwa wakiunda filamu ya ngono na mbwa


6:33 AM | Posted in | Read More »

HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOLIWA DENDA KILAZIMA JUKWAANI KATIKA SHOW YAKE-UK

5:45 AM | Posted in , | Read More »

ALIYEFUMANIWA NA DENTI… FAINI DOLA 400

YULE mfanyabiashara ‘alwatani’ wa jijini Dar ambaye hivi karibuni alifumaniwa gesti akiwa na mwanafunzi wa kidato cha pili, huenda akapandishwa kizimbani siku yoyote, Ijumaa Wikienda limeinyaka.
Kwa mujibu wa dada wa mwanafunzi huyo ambaye aliomba jina lake lisiandikwe gazetini, baada ya mfanyabiashara huyo kufumaniwa na binti huyo mwenye umri wa miaka 16, aliahidi kutoa fedha za Kimarekani dola 400 (zaidi ya Sh. 640,000) kama faini kwa kitendo hicho.
Hata hivyo, pamoja na kukubali kutoa kiasi hicho, mfanyabishara huyo hakutimiza ahadi yake na kuamua kuingia mitini.
Dada wa mwanafunzi huyo aliliambia Ijumaa Wikienda kwamba mfanyabiashara huyo anasakwa ili wamburuze mahakamani kutokana na mwisho wa mwezi uliopita kushindwa kutimiza ahadi yake
Aliandika kwa mkono wake kwamba atamlipa huyu mwanafunzi fedha hizo kama fidia ili akalipie ada ya kuendelea na masomo, lakini mpaka leo hii hajaonekana na wala simu yake ya mkononi haipatikani, tukimkamata tutamburuza mahakamani kwa sababu sheria hapa Bongo hazifuatwi kabisa kwani tulitarajia vyombo husika vingeingilia kati lakini hakuna lolote,” alisema dada huyo.
Aidha, dada huyo alisema kuwa wanatarajia kwenda kuchukua hati ya kumkamata mfanyabiashara huyo ‘RB’ katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar ili waweze kumsaka. 
“Ushahidi tunao tena wa uhakika kabisa, kaandika kwenye karatasi na katia saini yake, tena mwandishi naomba na zile picha alizopigwa akiwa chumbani na mdogo wangu ili zinisaidie katika ushahidi wa mahakamani,” alisema dada huyo huku akionesha karatasi ambayo waliingia makubaliano ya kulipwa dola hizo 400 na mfanyabiashara huyo.
Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu mfanyabiashara huyo alifumaniwa na denti huyo katika chumba namba 107 ndani ya gesti moja iliyopo Kinondoni, Dar na habari yake kuandikwa kwenye Gazeti la Risasi Jumamosi la Aprili 27.
chanzo:.globalpublishers

5:31 AM | Posted in | Read More »

X-ray shows harpoon lodged in Brazilian woman's spine after husband accidentally shot her in mouth


A Brazilian woman cheated death by just one centimetre after her husband accidentally shot her in the mouth with a HARPOON.
Elisangela Borborema Rosa's husband was cleaning his spear gun when it went off, firing a harpoon into her face, the Rio de Janeiro State Health Department said.
The spear hit her cervical spine and came within one centimetre of killing her, according to neurosurgeon Allan da Costa.
Mrs Rosa, 28, was rushed to hospital and underwent emergency surgery after the incident in the coastal city of Arraial do Cabo.
Despite her ordeal, she is expected to make a full recovery.
A police spokeswoman in Arrial do Cabo said officers were looking into the case.
"Everything indicates it was an accident, but we are investigating. We don't think the husband tried to kill her," she said.
"But once she fully recovers we will be able to question her and get a clearer picture of what happened."
 source: Mirror.co.uk 

3:09 AM | Posted in , | Read More »

Inmate accused of double murder escapes from high security Russian jail by digging through his cell's ceiling using a SPOON




A man due to stand trial for murder has escaped one of Russia’s most notorious prisons using a spoon and his bed sheets.
Oleg Topalov, 32, accused of two counts of murder and illegal possession of firearms, broke out of maximum-security Matrosskaya Tishina jail in the early hours of Tuesday.
Topalov, described as ‘mentally abnormal’ by prison staff, used a tablespoon to carve a hole into the ceiling of his cell at the Moscow prison and escaped through the ventilation vent, investigators said today.
Topalov is the fourth man in 20 years to escape from the infamous prison, and the first to break out of a detention centre in the Russian capital in 12 years.
Guards at Matrosskaya Tishina discovered that Topalov was missing from the eight-person cell  around 5am Tuesday morning.
'It was established that Oleg Topalov used a spoon to scrape away the cement and brickwork from the wall of the ventilation shaft in his cell,' an investigator told Interfax.
Matrosskaya Tishina opened in 1918 and although it has a reputation as one of the worst prisons in Russia, it is in desperate need of building maintenance, something which authorities say made it easy for Topalov to dig himself out.


 ‘Because of the building being run-down, Topalov had no difficulty in widening the vent of the air-shaft, through which he got to the prison’s roof,’ Russian Federal Penitentiary Service representative Kristina Belousova told RIA Novosti.
The escapee then jumped from the building’s roof into a neighbouring block before lowering himself to the ground using a rope he made from bed sheets.

4:01 AM | Posted in , | Read More »

Bathroom sex is best: 1 in 5 Germans love getting steamy in the bath or shower


Most (66 per cent) claimed that they weren't fussy about what day of the week it was, but 18 percent admitted that Saturday was a favourite day for sex.
That doesn't mean the respondents were talking about their partners, an equal share of men and women admitted to having had at least one affair, with 37 percent saying they had cheated on a partner in their lifetime.
Sexpert and MailOnline blogger Tracey Cox says: 'Bathrooms offer privacy and having a bath or shower together can be super sexy. But it also works well if your partner has hygiene problems. I often suggest people have a bath or shower with their partner before sex if they're worried about body odour. 
'People who are squeamish about sex often like doing it in places like the shower because it feels 'clean'. 
'Sadly, the most common place and time for most long-term couples in Britain is to have sex at 10.24pm on Saturday nights ... in the bedroom! Though it's not all bad: the kitchen bench is also a favourite.'

 http://www.dailymail.co.uk/

7:29 AM | Posted in , , , , , , | Read More »

PADRI AFUMANIWA NA MKE WA MTU!





KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lina sakata zima.
Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi  Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!
Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.
“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.
IJUMAA WIKIENDA NA FATHER NGOWI SASA
Baada ya kujazwa madai hayo, kama ilivyo desturi ya Magazeti ya Global Publishers likiwemo hili (Ijumaa Wikienda), lilimsaka Father Ngowi kwa udi na uvumba ambapo Ijumaa iliyopita nyakati za mchana lilifanikiwa kuzungumza naye lakini kabla ya kufanya hivyo, kifaa cha kunasia sauti kiliwekwa sawa na mambo yalikuwa hivi:
Wikienda: Haloo, naongea na Father Ngowi wa Parokia ya Korongoni, Marangu, Moshi?
Father Ngowi: Naam ni mimi, nani mwenzangu?
Wikienda: Naitwa…(mhariri anataja jina), napiga simu kutoka Magazeti ya Global Publishers.
Father Ngowi: Uko wapi?
Wikienda: Makao Makuu ya Global Publishers, Dar es Salaam.
Father Ngowi: Eeh…unasemaje?

Wikienda: Kuna madai ya wewe kukutwa na mke wa mtu chumbani. Je, unaweza kunielezea kama ni kweli na tukio lilikuwaje?
Father Ngowi: Siyo mimi.
Wikienda: Wewe siyo Father Urbanus Ngowi?
Father Ngowi: Nimekwambia siyo mimi, hao ni matapeli wanataka pesa ndiyo wametengeneza hizo picha.
Wikienda: Kwa hiyo unataka kuniambia hizi picha ni za kutengeneza?
Father Ngowi: Nimekwambia hao ni matapeli wanataka pesa.
Wikienda: Ulishaziona picha zenyewe?
Father Ngowi: Sijui.
NGOMA YATUPWA KWA MKUU WA JIMBO
Wikienda: Mbona tayari tukio hilo linadaiwa limeshafika kwenye ngazi ya jimbo, Moshi kwa Father Paul Uria?
Father Ngowi: Muulize yeye ndiye mkubwa wangu.
Wikienda: Basi nisaidie namba yake ya simu ya mkononi.
Baada ya takribani dakika 10, Father Ngowi alituma namba ya simu ya Father Uria na mambo yakawa hivi:
Wikienda (huku kinasa sauti kikiendelea kufanya kazi): Haloo…naitwa …(mhariri anajitambulisha) kutoka Magazeti ya Global Publishers, Dar es Salaam, naongea na Mkuu wa Jimbo Kanisa Katoliki, Moshi, Father Uria?
Father Uria (kwa sauti yenye unyenyekevu): Ndiyo.
Wikienda: Una taarifa za mtumishi wako, Father Ngowi kunaswa na mke wa mtu chumbani?
Father Uria: Kwanza mimi si mkuu wa jimbo, ni mwakilishi wa mkuu wa jimbo. Sipo mjini kwa sasa nipo Kilema huku vijijini kwenye huduma lakini nilikuta ‘missed calls’ zake jana (Alhamisi) kwani ilikuwa tukutane kwa sababu alishanijulisha kuwa kuna tukio kama hilo unaloniambia wewe.
NGOMA YAWA NZITO, YATUPWA LEO JUMATATU
“Kweli tulikuwa tukae jana lakini ikashindikana, leo (Ijumaa) ni sikukuu (Muungano), kesho (Jumamosi) na keshokutwa (Jumapili) ni wikiendi. Kwa hiyo tutakaa Jumatatu (leo) hivyo nipigie saa 10:00 jioni siku hiyo ili nikupe maagizo tutakayofikia na mengine.
Wikienda: Lakini Father Ngowi alikueleza tukio lilikuwaje?
Father Uria: Nimekwambia tukikaa ndiyo tutajua kilichotokea. Wewe nipigie hiyo saa 10 nikupe kitakachojiri.
Wikienda: Shukrani Father Uria kwa ushirikiano.

6:23 AM | Posted in , | Read More »