KITUKO... WEMA: SIJAWAHI KUMSALITI DIAMOND
WEMA Sepetu ametengeneza kichwa cha habari akidai hajawahi kumsaliti aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ enzi zile walipokuwa wamezama kwenye dimbwi la mahabat.“Maisha yangu yote tangia nimeanza mapenzi na Nasibu…sikuwahi kuwa unfaithful (msaliti). I used to be very faithful to him (nilikuwa mwaminifu sana kwake) na tulikuwa tunapendana sana… nilikuwa nimesharidhika na maisha ambayo niko nayo,” alisema Wema.
Mara kadhaa Diamond amewahi kukaririwa katika vyombo vya habari akimtuhumu mlimbwende huyo alikuwa akimsaliti pindi walipokuwa wapenzi. Tuwaachie mambo yao! Wasituchoshe.
chanzo:globalpublishers
Posted by Unknown
on 2:12 AM. Filed under
Mapenzi,
Mcharuko wa leo,
Media bar,
Micharuko Mipya,
Slider
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0.
Feel free to leave a response