Kavumbagu: Uchawi ulinirudisha nyuma

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi, Didier Kavumbagu, juzi alidhihirisha wazi kuwa kilichomfanya kuyumba katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara ni kuamini uchawi na mambo mengine mengi yasiyo na maana.
Kavumbagu aliyecheza mzunguko wa kwanza kwa mafanikio makubwa na kufanikiwa kufunga mabao nane, hakuwa kwenye kiwango chake mzunguko wa pili lakini juzi aliisumbua vilivyo ngome ya Simba na kufanikiwa kufunga bao lake la 10 kwenye ligi.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa aliliambia Championi Jumatatu kuwa awali aliweka fikra nyingi za uchawi kichwani mwake  na mawazo mengi yasiyo na maana juu ya hatima yake klabuni hapo kutokana na kutofunga mabao ya wazi kwenye mechi kadhaa za ligi hiyo.
“Unajua mwanzo nilikuwa nikifikiria sana kuwa narogwa, ndiyo maana nikawa na msongo mkubwa wa mawazo kichwani na vile nilivyokuwa nikikosa mabao basi nikawa nazidi kuwa na ‘mastress’ mengi.
“Lakini nashukuru Mungu sasa hivi nimeanza kurudi kwenye kiwango changu cha awali baada ya kujikita zaidi kwenye mazoezi na kuachana kabisa na mastress na fikira za uchawi,” alisema Kavumbagu.
chanzo:globalpublishers.info

4:43 AM | Posted in , , | Read More »

Bathroom sex is best: 1 in 5 Germans love getting steamy in the bath or shower


Most (66 per cent) claimed that they weren't fussy about what day of the week it was, but 18 percent admitted that Saturday was a favourite day for sex.
That doesn't mean the respondents were talking about their partners, an equal share of men and women admitted to having had at least one affair, with 37 percent saying they had cheated on a partner in their lifetime.
Sexpert and MailOnline blogger Tracey Cox says: 'Bathrooms offer privacy and having a bath or shower together can be super sexy. But it also works well if your partner has hygiene problems. I often suggest people have a bath or shower with their partner before sex if they're worried about body odour. 
'People who are squeamish about sex often like doing it in places like the shower because it feels 'clean'. 
'Sadly, the most common place and time for most long-term couples in Britain is to have sex at 10.24pm on Saturday nights ... in the bedroom! Though it's not all bad: the kitchen bench is also a favourite.'

 http://www.dailymail.co.uk/

7:29 AM | Posted in , , , , , , | Read More »

GARDNER: NINGEKUWA SIJAOA NINGEMUOA VANESA MDEE

                                                       gardner
                                                              Vannesa

MUME wa Legend wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jadee’, Gardner G Habash ‘Kapteini’ aliwaacha watu midomo wazi baada ya kusema kama angekuwa hajaoa, basi angemuoa msanii anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Vanessa Mdee
“Kiukweli Vanesa ni msanii mzuri, ana uwezo mkubwa wa kufanya muziki wa Hip Hop na kulitawala jukwaa. Ningekuwa sijaoa kwa kweli ningemuoa Vanesa Mdee,” alisema Gardner.
Mbali na Vanesa, wasanii wengine wanaounda familia ya B Heatz walipata nafasi ya kutumbuiza katika hafla hiyo akiwemo mkongwe, Ally Baucha.
chanzo:globalpublishers.

7:16 AM | Posted in , , , , , | Read More »

Tragedy as 5-year-old boy shoots dead his sister, 2, with child-size .22 caliber rifle he was given as a GIFT





A 2-year-old girl was accidentally shot and killed by her 5-year-old brother while he was playing with a child-size rifle given to him as a gift, authorities in Kentucky say.
Caroline Starks, a blonde, blue-eyed girl, was fatally shot in the chest by her brother's .22-caliber rifle only minutes after her mother says she stepped outside their home in Burkesville on Tuesday.
The single-shot weapon fired is a rifle specifically marketed to children as 'My First Rifle' by company Keystone Sporting Arms, according to authorities.
 http://www.dailymail.co.uk/news

8:30 AM | Posted in , , , , | Read More »

MDOSI ANAYEDAIWA KUMNYONGA MWALIMU DAR... NAYE AJIUA


MHINDI mwenye uraia wa India, Srinivasa Rao Talluri, 36 anayedaiwa kumuua Mwalimu Elizabeth Mmbaga wa Shule ya Msingi Atlas, jijini Dar es Salaam amejiua Aprili 17 mwaka huu katika Hoteli ya Transit iliyopo Karakata.
Talluri ambaye alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya vinywaji vikali ijulikanayo kwa jina la Moan’s Drinks Ltd iliyopo Oysterbay, Dar maiti yake ilikutwa chumbani saa mbili asubuhi na inadaiwa alijiua kwa kunywa sumu ambayo mabaki yake yamepelekwa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uchunguzi.
Habari za kipolisi zimesema kuwa baada ya wafanyakazi wa Hoteli ya Transit jijini Dar kugundua kuwa Mhindi huyo amekufa, walitoa taarifa polisi ambao walifika na walipochunguza chumbani, walikuta kuna pombe aina ya Pushkin chupa tatu, chupa yenye sumu ya kuulia wadudu, chips na maziwa glasi moja.
Inadaiwa kwamba Mhindi huyo aliachishwa kazi katika kampuni hiyo Aprili 2, mwaka huu baada ya kugundulika kuwa alitumia vibaya zaidi ya shilingi 400,000 ambapo Aprili 3, mwaka huu alifikishwa polisi Kituo cha Oysterbay, jijini Dar.
Mwandishi wetu alifika katika ofisi za Moan’s Drinks Ltd alikokuwa akifanyia kazi Mhindi huyo na kuonana na mmoja wa viongozi wa kampuni hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Raju na akakiri kutokea kwa kifo cha Talluri. 
Habari zinasema mwili wake ulifanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumatatu iliyopita na ukasafirishwa kupelekwa India Jumatano ya wiki iliyopita  kwa ajili ya mazishi.
Mhindi huyo anadaiwa kuwa alikuwa mpenzi wa Mwalimu Elizabeth ambaye siku moja kabla ya kifo chake imeelezwa kuwa alikuwa naye kwenye baa moja karibu na nyumba ya Eliza, hata hivyo, alikutwa amekufa katika chumba chake Kimara Baruti, Dar Aprili 15 mwaka huu huku shingoni kukiwa na michubuko iliyoashiria kuwa alinyongwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Marietha Minangi amethibitisha kutokea kwa kifo hicho katika hoteli hiyo.
“Ni kweli alikutwa amekufa katika Hoteli ya Transit na chumbani tulikuta sumu ambayo tumepeleka kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwa uchunguzi,” alisema.
chanzo:globalpublishers

8:01 AM | Posted in , , , , , | Read More »

WEMA SEPETU:Mbwa ndio wanao nipa faraja kubwa sana


Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mbwa wake, Ivan na Gucci.
Wema alisema hawezi kukaa zaidi ya siku tatu bila kuwaona mbwa wake hao kwani amewazoea kwa kuwa humuondolea ‘stress’ za hapa na pale.

“Juzikati nilikwenda Arusha mara moja tu siku hiyohiyo nikawa nawakumbuka Ivan na Gucci mpaka nikawa natamani kurudi kwa ajili yao, kusema kweli hawa ndiyo kila kitu kwangu,” alisema Wema na…

7:26 AM | Posted in , , | Read More »

Black and white students finally dance together at Georgia high school's first ever racially mixed prom - SIXTY years after school segregation officially ended






For the first time in the history of Wilcox County, Georgia, black students and white students danced arm-in-arm at prom on Saturday.
Nearly 60 years after the U.S. Supreme Court ruled that segregation in public schools was illegal, half of the students from rural Wilcox County High School ended their community's tradition of segregation after raising money for an integrated prom dance. 
The event had all the trappings of a normal high school prom, with couples arriving together in limousines, girls decked in frilly dresses, and badly-synchronized group dances to modern dance hits. 
Read more: http://www.dailymail.co.uk/

6:49 AM | Posted in , | Read More »