|

GARDNER: NINGEKUWA SIJAOA NINGEMUOA VANESA MDEE

                                                       gardner
                                                              Vannesa

MUME wa Legend wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jadee’, Gardner G Habash ‘Kapteini’ aliwaacha watu midomo wazi baada ya kusema kama angekuwa hajaoa, basi angemuoa msanii anayekuja kwa kasi kwenye gemu, Vanessa Mdee
“Kiukweli Vanesa ni msanii mzuri, ana uwezo mkubwa wa kufanya muziki wa Hip Hop na kulitawala jukwaa. Ningekuwa sijaoa kwa kweli ningemuoa Vanesa Mdee,” alisema Gardner.
Mbali na Vanesa, wasanii wengine wanaounda familia ya B Heatz walipata nafasi ya kutumbuiza katika hafla hiyo akiwemo mkongwe, Ally Baucha.
chanzo:globalpublishers.

Posted by Unknown on 7:16 AM. Filed under , , , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0. Feel free to leave a response

0 comments for "GARDNER: NINGEKUWA SIJAOA NINGEMUOA VANESA MDEE"

Leave a reply